Image result for Whatsapp
Hakuna kitu kizuri kama ukiwa unawasiliana na ndugu zako na kuwaonyesha mahala uendapo ili kufuatilia kila hatua ambayo unaipiga kwenye safari yako, Good Newz ni kwamba Mtandao wa Whatsapp umekuja na Update yake mpya ya Live Location ambayo itarahishsa watumiaji wake kupeana taarifa za ramani ya safari yako kwa muda wa wakati huo.

Sasa Mtandao wa Whatsapp kila Leo unajaribu kuleta maboresho yake mapya katika kufanikisha mazungumzo ambayo hufanywa na mtandao huo kuweza kufurahiwa na kila mtu kutoka pande yeyote ile Duniani.

Ili kuweza Kupata Toleo hili jipya Fanya kuingia kwenye Store ya simu yako kisha Update uweze kuona Maunyama yote mapya kwenye mtandao huo wa Whatsapp.